• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania TMA yatoa tahadhari juu ya mvua kubwa

  (GMT+08:00) 2019-10-17 09:28:23

  Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini Tanzania TMA imetoa tena tahadhari juu ya mvua kubwa zitakazonyesha leo na kesho nchini humo. Utabiri wa hali ya hewa uliotolewa na TMA unasema mvua zinatazamiwa kunyesha mjini Dar es Salaam, Pwani, Tanga na visiwani Unguja na Pemba. Pia umeeleza kuwa nyumba kwenye maeneo kadhaa zitaweza kuzama kwenye mafuriko, na miundo mbinu inaweza kuharibiwa.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako