• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: Juventus yajipanga kumfunga maisha kipa wake

    (GMT+08:00) 2019-10-18 16:38:07
    Juventus inajiandaa kufanya mazungumzo ya kumuongezea mkataba kipa wake, Wojciech Szczesny baada ya kumalizika ili kuzima uvumi kuwa huenda akajiunga na Manchester United. Juventus ilimsajili kipa huyo baada ya kufanya vizuri kwenye klabu hiyo pindi alipokuwa akiichezeka kwa mkopo akitokea Arsenal.
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako