• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kucheleweshwa kwa kwa uingiaji wa mizingo kuna gharimu bandari ya Dar hela nyingi

    (GMT+08:00) 2019-10-21 21:00:04
    Mamlaka ya Bandari za Tanzania imeonya kuwa hivi karibuni itaanza kufuta kazi watu wanaoshukiwa kusababisha kucheleweshwa kwa magari yanayoingizwa nchini.

    Mamlaka hiyo imesema kucheleweshwa kumefanya waagizaji kuachana na bandari kwa bandari nzuri zaidi nchi jirani.

    TPA imesema kucheleweshwa kunagharimu waagizaji pesa nyingi, ambayo baada ya wanashindwa kulipia, na kulazimisha mamlaka ya bandari kununua mnada wa magari.

    Licha ya uboreshaji wa bandari, iliyoundwa kwa ajili ya kushughulikia magari yalioingia nchini, idadi hiyo imekuwa ikipungua.

    Kuboreshwa huko kwa inatarajiwa kushughulikia magari 600,000 kila mwaka wakati imekamilika.

    Bandari ya kisasa pia inakusudiwa kurahisisha usafirishaji kati ya Dar es salaam na nchi za Rwanda, Burundi, Sudani Kusini, Uganda na nchi za SADC.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako