• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Serikali ya Uingereza yatangaza mswada wa Brexit kabla ya kujadiliwa bungeni

    (GMT+08:00) 2019-10-22 10:01:14

    Serikali ya Uingereza imetangaza mswada wa makubaliano ya Brexit kabla ya kuanza kujadiliwa katika baraza la chini la bunge la nchi hiyo. Kitendo hicho kinachukuliwa kama ni juhudi za serikali kupitisha mpango wa Brexit uliotolewa na waziri mkuu wa nchi hiyo Bw. Boris Johnson kwenye baraza hilo ndani ya siku tatu. Serikali ya Uingereza na Umoja wa Ulaya waliafikiana kuhusu mpango huo wiki iliyopita, lakini bado unatakiwa kupitishwa na bunge la Uingereza ili uwe sheria kabla ya Uingereza kujitoa rasmi Umoja wa Ulaya.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako