• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Nchi 64 na mashirika 3 ya kimataifa yashiriki katika Maonyesho ya pili ya kimataifa ya uagizaji bidhaa ya China.

    (GMT+08:00) 2019-10-22 19:08:35

    Nchi 64 na mashirika 3 ya kimataifa yatashiriki katika Maonyesho ya pili ya Kimataifa ya uagizaji bidhaa ya China yanayotarajiwa kuanza tarehe 5 hadi 10 mwezi Novemba, katika Kituo cha mikutano na maonyesho cha kitaifa mjini Shanghai.

    Maonyesho hayo yataonyesha maendeleo na mafanikio katika uwanja wa biashara na uwekezaji, ikiwa ni pamoja na biashara za bidhaa na huduma, hali ya viwanda, utalii na uwekezaji, utamaduni na teknolojia.

    Maonyesho hayo ya pili yatafuatilia mada ya maadhimisho ya miaka 70 tangu kuanzishwa kwa China mpya, kuonyesha mafanikio ya China katika maendeleo ya kiuchumi na kijamii na fursa mpya katika zama mpya.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako