• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Bibi Tu Youyou atunukiwa tuzo na UNESCO

  (GMT+08:00) 2019-10-23 09:02:37

  Shirika la Elimu, Sayansi na Utamaduni la Umoja wa Mataifa UNESCO limetangaza orodha ya washindi wa tuzo ya kimataifa ya utafiti wa sayansi ya maisha, kwa ajili ya mashirika au watu waliotoa mchango muhimu katika kuboresha ubora wa maisha ya watu. Orodha ya mwaka huu ina watu watatu akiwemo Tu Youyou wa China aliyegundua dawa ya Artemisinin, na kuokoa maisha ya mamilioni ya watu. Takwimu zinaonesha kuwa dawa ya Artemisinin imepunguza kiwango cha vifo kutokana na Malaria kwa asilimia 66, na kiwango hicho kwa watoto wenye umri wa miaka 5 kwa asilimia 71 barani Afrika.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako