• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Samatta kawaeleza ukweli kiu ya Watanzania kuhusu yeye na Van Dijk

    (GMT+08:00) 2019-10-23 17:25:41
    Nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars anayekipiga katika club ya KRC Genk ya nchini Ubelgiji Mbwana Samatta amefunguka na kueleza kiu ya watanzania kuelekea mchezo wao wa UEFA Champions League dhidi ya Liverpool, ukiwa ni mchezo wao wa tatu wa hatua ya Makundi. Samatta kuelekea mchezo huo akiambatana na kocha wake mkuu Felice Mazzu aliongea na vyombo vya habari, huku akieleza kuwa zamani alikuwa shabiki mkubwa wa Man United na anafahamu kuwa Tanzania wanashauku ya kuona akicheza dhidi ya Virgil van Dijk na kumpita.
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako