• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Wafanyakazi wa serikali watakiwa kuvaa nguo za ndani ya nchi Wafanyakazi wa serikali nchini Kenya wametakiwa kuvalia nguo zinazotengenezwea nchini humo badala ya kuagiza kutoka nje.

  (GMT+08:00) 2019-10-23 19:52:59
  Agizo hilo kutoka kwa mwanasheria mkuu linawataka wafanyakazi wote kuvaa nguo hizo Ijumaa na sikukuu za kitaifa.

  Hatua hii ni sehemu ya kupambana na uagizaji wa nguo kuu kuu maarufu kama mitumba.

  Taarifa kutoka ofisi ya mwanasheria mkuu inasema pia hatua hiyo itasaidia kukuza agenda ya utengenezaji bidhaa na pia kufungua nafasi za ajira.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako