Chama cha vinywaji nchini humo kimesema tayari wauzaji wa reja reja wa pombe wamepandish bei hata kabla ya sheria mpya kuanza.
Wabunge nchini humo wamependekeza ushuru wa kati ya asilimia 19 na 20 lakini bado rais Uhuru Kenyatta hajasaini mswada huo.
Hata hivyo chama cha watengenezaji wa bidhaa hiyo wameonya kuwa kuongezwa kwa ushuru huenda kukapelekea waraibu kuanza kunywa pombe haramu.
© China Radio International.CRI. All Rights Reserved. 16A Shijingshan Road, Beijing, China. 100040 |