Kupitishwa kwa makubaliano hayo kunafanyika mbele ya Mkutano wa kwanza wa Urusi-Afrika wiki ijayo katika mji wa Sochi, ambao Rais Paul Kagame amethibitisha kuhudhuria.
Mpango huo wa nguvu ya nyuklia ulitiwa saini mara ya kwanza huko Moscow mnamo Desemba mwaka jana na sehemu ya yaliomo ni wanasayansi wa Urusi kufungua Kituo cha Sayansi na Teknolojia ya Nyuklia mjini Kigali.
Russsia pia imetia saini makubaliano ya ushirikiano kama huo na Kenya, Uganda na Tanzania.
© China Radio International.CRI. All Rights Reserved. 16A Shijingshan Road, Beijing, China. 100040 |