• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Tanzania yaanza mchakato wa kuvutia utalii

  (GMT+08:00) 2019-10-23 19:55:17
  Serikali imeanza mchakato wa kutafuta mbinu mbadala za kuvutia sekta ya utalii hasa katika Hifadhi ya Taifa ya Mkomazi na Msitu wa Hifadhi ya Asili wa Chome maarufu kama Shengena, baada ya kuita watu wa utamaduni na sanaa kutunga nyimbo za hamasa ili kuvutia utalii wa ndani.

  Katika taarifa yake Mkuu wa Wilaya ya Same, Rosemary Senyamule, alisema uamuzi huo unalenga kuinua mapato ya hifadhi hizo na kuongeza idadi ya watalii au Watanzania

  Pia, serikali imetoa mwongozo kama huo pia wa kutungwa kwa nyimbo za kuhamasisha uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 24, mwaka huu.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako