• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Michuano ya Chalenji kuanza Disemba Mosi Kampala

  (GMT+08:00) 2019-10-23 20:56:15

  Baraza la Soka la Afrika Mashariki na Kati (CACAFA) limesema mashindano ya kuwania ubingwa wa Kombe la Chalenji yamepangwa kuanza Disemba Mosi hadi 19 mwaka huu jijini Kampala, Uganda. Katibu Mkuu wa CECAFA Nicholas Musonye amesema kuwa maandalizi kuelekea mashindano hayo yameshakamilika na kuzitaja nchi 11 zilizothibitisha kushiriki michuano hiyo, zikiwemo mwenyeji Uganda, Tanzania Bara (Kilimanjaro Stars), Kenya (Harambee Stars), Sudan na Ethiopia.
  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako