• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: Lampard afunguka ushindi wa Chelsea

    (GMT+08:00) 2019-10-24 17:27:33
    Frank Lampard amesifu kazi nzuri ya wachezaji wake katika mchezo ambao Chelsea ilishinda bao 1 – 0 dhidi ya Ajax Amsterdam ya Uholanzi. Bao la Michy Batshuayi alilolifunga dakika nne kabla ya mpira kumalizika limempa tambo kocha huyo. Licha ya Ajax kutawala mchezo, lakini Chelsea ilipambana na kupata bao katika dakika ya 86 lililopatikana baada ya Batshuayi kuingia katika dakika ya 71 akitokea benchi. Lampard ambaye alikuwa kikaangoni kutokana na matokeo mabaya katika siku za karibuni, amesema anajivunia kiwango cha wachezaji wake.
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako