• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Benki za kikanda ni miongoni mwa benki zilizofanya vyema duniani

  (GMT+08:00) 2019-10-24 19:48:14

  Takriban benki nne zinazoendesha shughuli zao ndani ya Afrika Mashariki zimetajwa miongoni mwa taasisi bora 1,000 za kifedha duniani.

  Benki hizo,ikiwa ni pamoja na Equity,KCB,Diamond Trust na Co-operative,Ripoti hiyo inasema zilisimamam na kukabili mazingira magumu ya uendeshaji mwaka 2019 na kuandikisha ukuaji mkubwa.

  Ripoti hiyo iliyotolewa ba Jarida la Fedha la mjini London la The Banker,lililochapishwa na Financial Times,inaonyesha kuwa benki hizo nne,ambazo kwa kiwango kikubwa ni za kibiashara,zilidumisha ukuaji katika faida.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako