• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) na sekta binafsi kuwezesha kilimo (PASS) kutoa fursa za ajira kwa vijana

  (GMT+08:00) 2019-10-24 19:48:38
  Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) na sekta binafsi kuwezesha kilimo (PASS) ,zimeingia makubaliano ya kuwekeza katika miradi ya ubunifu ya kilimo kwa vijana wenye umri wa kuanzia miaka 15 hadi 35 ili kuchangia ukuaji wa uchumi na kupunguza tatizo la ajira kwa vijana.

  Akizungumza katika hafla ya kusaini makubaliano hayo,Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo nchini Tanzania,Japhet Justine,alisema lengo la makubaliano ni kukuza sekta ya kilimo nchini humo pamoja na kuwawezesha vijana ,wanawake,na wajasiriamali wadogo kupatikana kwa utoshelevu wa chakula nchini humo.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako