• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Ujumbe wa uchaguzi wa Palestina wawasili Gaza kwa mazungumzo na Hamas

    (GMT+08:00) 2019-10-28 09:27:41

    Ujumbe wa ngazi ya juu unaowakilisha tume ya uchaguzi ya Palestina umewasili Gaza kwa ajili ya mazungumzo na kundi la Hamas kuhusu uchaguzi wa Palestina. Hapo awali, mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Palestina Bw. Hanna Nasser na ujumbe wake walitumwa na rais wa Palestina Bw. Mahmoud Abbas kutembelea Ukanda wa Gaza na kufanya mazungumzo na kundi la Hamas na vyama vingine vidogo vya nchi hiyo, kuhusu kufanya uchaguzi wa Palestina.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako