• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: Jeraha lampetsa Pogba Manchester United

    (GMT+08:00) 2019-10-28 17:00:07
    Paul Pogba atakuwa nje ya uwanja hadi Disemba baada ya kuumia kifundo cha mguu. Kocha wa Man U Ole Gunner Solskjaer amesema kiungo huyo ana maumivu ambayo yatachukua muda mrefu kupona. Mchezaji huyo wa kimataifa wa Ufaransa, ameongezewa mwezi mmoja zaidi ili kupata matibabu ya kina kabla ya kurejea uwanjani. Pogba amekosa mechi 8 kati ya 10 ambazo Manchester United imecheza kuanzia Agosti.
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako