• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China yawasiliana na Uingereza kwa karibu kutambulia wahamiaji waliofariki

    (GMT+08:00) 2019-10-28 18:49:09

    Msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya China Bw. Geng Shuang leo amesema, ubalozi wa China nchini Uingereza unawasiliana na Uingereza kwa karibu, kuitaka nchi hiyo itoe taarifa zaidi ili kusaidia kutambulia miili 39 ya watu iliyokutwa kwenye lori mjini Essex.

    Mpaka sasa polisi wa Uingereza wamesema hawawezi kuthibitisha watu hao wanatoka nchi gani.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako