• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Rwanda imefungua bandari kavu Masaka kwa ajili ya  biashara.

  (GMT+08:00) 2019-10-28 19:33:29
  Kituo hicho kitatoa huduma katika utunzaji wa vyombo, upakiaji na upakuaji kutoka kwa malori, ghala na uhifadhi wa baridi; na inatarajiwa kupunguza muda uliochukuliwa kwa mizigo kutoka wiki mbili hadi siku tatu.

  Ilijengwa kupitia makubaliano, Dubai World itaendesha kituo hichi kwa miaka 25 kabla ya kukabidhi kwa serikali.

  Ujenzi wa bandari ulianza mapema mwaka wa 2016 huko Masaka, mashariki mwa Kigali, karibu na ukanda maalum wa uchumi na utaunganisha Rwanda na barabara zote mbili za usafirishaji wa Kaskazini na Kati, na pia kuokoa karibu dola milioni 50 kwa mwaka kwa gharama ya usafirishaji wakati itakapo anza kazi rasmi, kulingana na Bodi ya Maendeleo ya Rwanda.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako