Ununuzi wa gari, mikataba ya ujenzi na rejista ya wamiliki wa ardhi wanaotafuta mita za umeme kwa ajili ya majengo yao itaonekana mara moja na mtozaji ushuru, akiondoa kero ya kufanya maombi kwa wahusika wengine kwa habari hiyo.
KRA inataka kulinganisha matumizi ya wakenya matajiri na mapato waliyoyatangaza kukuwa nayo kwa mtoza ushuru, katika mkakati wake mpya unaolenga kuangalia maisha ya mtu ambayo haiendani na kodi anayo lipa.
© China Radio International.CRI. All Rights Reserved. 16A Shijingshan Road, Beijing, China. 100040 |