• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Uganda yasambaza vifaa vya misaada kutokana na mafuriko yatakayotokea

  (GMT+08:00) 2019-10-29 09:46:13
  Ofisi ya waziri mkuu ya Uganda imetoa tahadhari ya mafuriko, na kusema imetoa vifaa vya misaada kwa maeneo yanayokabiliwa na mvua kubwa nchini humo. Kwenye tahadhari hiyo, ofisi hiyo imesema wilaya takriban 24 kote nchini zinaweza kukabiliwa na mafuriko kutokana na msimu wa mvua unaoendelea na kufikia kilele.
  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako