• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Mamlaka ya utabiri wa hali ya hewa ya Tanzania yatoa tahadhari kuhusu sehemu nne za eneo la Ziwa Viktoria kukabiliwa na mvua kubwa

  (GMT+08:00) 2019-10-30 09:28:42

  Mamlaka ya Utabiri wa Hali ya Hewa ya Tanzania TMA imetoa tahadhari kuhusu mikoa minne kwenye eneo la Ziwa Viktoria ikiwa ni pamoja na Simiyu ya Magharibi, Mara, Geita na Kagera, kukabiliwa na mvua kubwa wiki hii. TMA imetoa tahadhari hiyo wakati kuna ripoti kwamba watu zaidi ya 44 wamekufa katika sehemu nyingine nchini Tanzania kutokana na mvua zinazoendelea nchini humo.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako