• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Mawaziri wa mambo ya nje na ulinzi wa Tunisia wafutwa kazi

  (GMT+08:00) 2019-10-30 09:29:14

  Ofisi ya waziri mkuu wa Tunisia imetoa taarifa ikisema, waziri wa mambo ya nje Bw. Khemaies Jhinaou na waziri wa ulinzi Bw. Abdelkarim Zbidi wameondolewa madarakani. Taarifa hiyo imesema uamuzi huo umekuja baada ya waziri mkuu wa nchi hiyo Bw. Youssef Chahedna na rais mpya Bw. Kais Saied kufanya majadiliano. Pia wameamua kumteua waziri wa sheria kuwa kaimu waziri wa ulinzi, na katibu wa mambo ya nje kuwa kaimu waziri wa mambo ya nje.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako