• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • SOKA: Point 3 kwanza, mfungaji baadaye

  (GMT+08:00) 2019-10-30 19:44:34

  Wakati mashabiki wa soka wa klabu ya Simba wakiwa na kiu ya kuona Meddie Kagere anaendeleza kasi yake ya kucheka na nyavu katika mechi ya leo dhidi ya Mwadui FC, mshambuliaji huyo aliyefunga mabao katika mechi tano mfululizo amesema, anachotazama kwanza ni ushindi wa timu na si yeye kufunga. Kagere ambaye ameichezea Simba mechi zote sita msimu huu, amefunga mabao saba katika mechi tano mfululizo kabla ya kushindwa kucheka na nyavu katika mchezo dhidi ya Singida United ambapo Miraji Athumani aliifungia Simba bao pekee la ushindi.
  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako