• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Wataalam na wabunge wa Afrika wafanya tathmini ya miaka 25 tangu kutekelezwa kwa Azimio la Beijing

    (GMT+08:00) 2019-10-30 18:45:00

    Wataalam na mawaziri wa Afrika wameanza mkutano wa ngazi ya juu utakaotathmini miaka 25 tangu kuanza kutekelezwa kwa Azimio la Beijing na Jukwaa la Utekelezaji.

    Mkutano wa siku 5 wa Kamati ya Kitaaluma ya Ngazi ya Juu ya Umoja wa Afrika (STC) kuhusu Usawa wa Jinsia na Uwezeshaji wa Wanawake, pia unatarajiwa kuzindua Mkakati wa Usawa wa Kijinsia na Uwezeshaji wa Wanawake (GEWE).

    Mkutano huo umewaleta pamoja mawaziri wa nchi za Afrika wanaoshughulika na masuala ya jinsia na wanawake, wataalam, mashirika ya kiuchumi ya kikanda, mashirika ya kijamii, mashirika ya Umoja wa Mataifa, na wenzi wa maendeleo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako