• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Bidhaa za bara la Afrika zitauzwa katika  jumuiya kubwa ya kiuchumi duniani

  (GMT+08:00) 2019-10-30 19:40:31
  Eneo Huru la Kibiashara Barani Afrika (AfCFTA) hivi sasa ina miezi mitatu baada ya kuzinduliwa na Umoja wa Afrika (AU) wakati wa mkutano wa Wakuu wa Nchi katika mji mkuu wa Nigeria, Niamey.

  Kupita uzinduzi huu, Bara la Afrika limejianda kufurahia matunda baada ya kua jumuiya kubwa ya kiuchumi duniani ambapo wanachama wa nchi watauza bidhaa zao na bidhaa barani Afrika.

  Bara la zaidi ya watu bilioni 1.2 na milioni 450 kati yao ni vijana wa kuajiriwa wenye umri wa kati ya miaka 15 na 35 (AfDB, 2018), kuunda fursa ni muhimu kwa viongozi wa nchi.

  Kupitia jumuiya kubwa ya kiuchumi duniani malighafi ya Kiafrika yatasindikwa nyumbani na kuuzwa mahali pengine kama bidhaa za kumaliza badala ya nchi za Afrika kununu kutoka nchi zengine duniani.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako