• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Makampuni zaidi ya Zambia kushiriki kwenye Maonesho ya uagizaji wa bidhaa ya China

  (GMT+08:00) 2019-10-31 09:24:20

  Serikali ya Zambia imesema idadi ya mashirika ya ndani yaliyoonesha nia ya kushiriki kwenye Maonesho ya Kimataifa ya Uagizaji wa Bidhaa ya China CIIE imeongezeka ikilinganishwa na mwaka jana. Waziri wa Biashara na Viwanda Bw. Christopher Yaluma amesema hadi sasa makampuni 35 yamethibitisha ushiriki wao, na idadi hiyo inakadiriwa kufikia 40 kutokana na makampuni mengine kuwa na mipango yao yenyewe.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako