• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Kiongozi wa Iran ashutumu nchi za magharibi kuchochea migogoro ya kikanda

  (GMT+08:00) 2019-10-31 09:24:44

  Televisheni ya Iran imeripoti kuwa kiongozi wa Iran Ayatollah Ali Khamenei ametoa hotuba akishutumu nchi za magharibi kuchochea vurugu katika baadhi ya nchi za Mashariki ya Kati. Hivi karibuni maandamano yamekuwa yakienea Lebanon na Iraq, Ayatollah Khamenei amesema nguvu zenye uhasama zinajaribu kuharibu utawala wa kisheria wa nchi hizo kupitia njia hizo, na kusababisha kutokuwepo kwa mamlaka katika nchi hizo, hali ambayo inatakiwa kuchukuliwa tahadhari. Pia ametoa wito kwa watu wa nchi hizo mbili kutoa maoni yao kwa njia halali.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako