• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Wizara ya mambo ya nje ya Israel yafunga balozi zake kote duniani

  (GMT+08:00) 2019-10-31 09:25:16

  Wizara ya mambo ya nje ya Israel imetoa taarifa kupitia akaunti yake ya Twitter kuwa kutokana na mkwaruzano kati yake na Wizara ya Fedha, wizara hiyo imeanza kufunga balozi zake kote duniani. Vyombo vya habari vimeripoti kuwa, maofisa wa mambo ya nje wa Israel wamekuwa wakilalamikia kiwango cha chini cha mishahara na mazingira mabaya ya kazi. Wizara hiyo inatoa malalamiko kila baada ya miaka kadhaa.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako