• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • China yafuatilia "kizuizi" kilichokutwa na Umoja wa Mataifa huko Kosovo

  (GMT+08:00) 2019-11-01 09:40:12

  Naibu mwakilishi wa kudumu wa China katika Umoja wa Mataifa Bw. Wu Haitao amesema China inafuatilia kizuizi kinachowakabili wafanyakazi wa Umoja wa Mataifa huko Kosovo wakati wanapotekeleza majukumu. Wafanyakazi wawili wa Tume ya mpito ya Umoja wa Mataifa nchini Kosovo UNMIK walikamatwa wakati polisi wa Kosovo walipofanya operesheni inayolenga magendo na uhalifu uliopangwa mwezi Mei. Bw. Wu amesema uchunguzi huru umethibitisha kuwa wafanyakazi wa tume hiyo walitishiwa na utekelezaji wao wa majukumu ulikwamishwa.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako