• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Israel yashambulia vituo vya Hamas huko Gaza kwa kulipiza kisasi shambulizi la roketi la Palestina

  (GMT+08:00) 2019-11-01 09:41:46

  Msemaji wa jeshi la Israel amesema kupitia taarifa kuwa, jeshi la Israel IDF na ndege ya jeshi hilo zilishambulia vituo viwili vya Kundi la Hamas kwenye Ukanda wa Gaza. Taarifa hiyo iliongeza kuwa hii ni hatua ya kulipiza kisasi kwa wapiganaji wa Palestina huko Gaza kurusha roketi kwenye sehemu ya kaskazini ya Ukanda wa Gaza.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako