• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • SOKA: ZFF, TFF waanza kutafuta suluhu

  (GMT+08:00) 2019-11-01 17:51:38

  Upepo mbaya ambao ulianza kuvuma ndani ya Shirikisho la Soka Zanzibar (ZFF) na Shrikisho la Soka Tanzania (TFF) hivi sasa umeonekana kuanza kutulia. Hali hiyo imekuja baada ya kuanza vikao vya kuweka mambo sawa baina ya mashirikisho hayo makubwa ya soka nchini Tanzania, ili kuona masuala hayo yanakaa sawa. Akitoa taarifa ya hatua walipofikia baada ya kukaa kikao Octoba 30 mjini Dar es Salaam, Katibu mkuu wa ZFF Mohamed Hilali amesema kikao cha watendaji wa juu wa mashirikisho hayo kilifanyika Oktoba 30 katika makao makuu ya TFF yaliyoko Amana, kilicholenga kutatua yale yote ambayo yalitajwa katika mgogo huo, hivyo wanategemea Novemba 6 kutafanyika kikao cha kwanza ambacho kitafanyika Zanzibar.
  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako