• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mashirika yasiyo ya kiserikali yaishtaki kampuni ya mafuta ya Total

    (GMT+08:00) 2019-11-01 18:12:59

    Mashirika sita yasiyo ya kiserikali yamewasilisha kesi mahakamani dhidi ya kampuni ya mafuta ya Total kwa tuhuma za kuharibu mazingira katika makazi ya watu nchini Uganda. Mashirika hayo yamesema yanaitaka mahakama kulazimisha kampuni hiyo ya mafuta kuzingatia sheria na kuja na mpango mahususi utakaosaidia kuzuia athari za kiafya zinazotokana na shughuli za kampuni hiyo nchini humo. Kampuni ya Total ilikuwa imelenga kuchimba visima 419 vya mafuta karibu na ziwa Albert magharibi ya Uganda kwa ajili ya mradi wa Tilenga ambao unatarajiwa kutoa mapipa laki 2 ya mafuta kila siku. Vingi vya visima hivyo inasemekana vitakuwa katika mbuga ya wanyama ya Marchison ambako tayari jamii zinazoishgi katika eneo hilo zimeondolewa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako