• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China yatoa msaada ya basi kwa bunge la Namibia

    (GMT+08:00) 2019-11-01 18:52:06

    Hafla ya kupokea msaada ya basi na vifaa vya mkutano vilivyotolewa na China kwa bunge la Namibia imefanyika mjini Windhoek.

    Spika wa bunge la Nambia Bw. Peter Katjavivi ameshukuru misaada hiyo kutoka China na kusema, ni ishara ya urafiki wa kina kati ya nchi hizo mbili.

    Kwa upande wake, balozi wa China nchini Namibia Bw. Zhang Yi amesema, China inaunga mkono watu na bunge la Namibia, na kutarajia kuendelea kuwa mwenzi mwaminifu katika maendeleo ya uchumi wa Namibia.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako