• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • China kutuma mjumbe maalumu kuhusu mambo ya Ulaya

  (GMT+08:00) 2019-11-01 19:02:30

  Msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya China Bw. Geng Shuang leo amesema, serikali ya China imemteua Bw. Wu Hongbo kuwa mjumbe maalumu anayeshughulikia mambo ya Ulaya ili kuhimiza maendeleo mazuri, na utulivu na mfululizo ya uhusiano wa wenzi wa kimkakati kwa pande zote kati ya China na Ulaya.

  Bw. Geng Shuang amesema, Bw. Wu atasaidia wizara ya mambo ya nje ya China kutatua mambo yanayohusu Ulaya, kuhimiza maingiliano ya ngazi ya juu kati ya China na Ulaya, na kushiriki kwenye masuala yanayohusu ushirikiano muhimu katika sekta mbalimbali kati ya China na Ulaya, ili kufanya juhudi kwa ajili ya kuzidisha uhusiano wa amani, endelevu, na ustaarabu kati ya pande hizo mbili.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako