• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Wazee wa China watarajiwa kupata huduma ya afya yenye sifa bora zaidi

    (GMT+08:00) 2019-11-01 19:02:59

    China imetoa mwongozo kuhusu kujenga na kuboresha mfumo wa huduma za afya kwa wazee, ambao ni waraka wa kwanza wa China unaohusu huduma ya afya kwa wazee.

    Mwongozo huo unasema, ifikapo mwaka 2020, utaratibu na vigezo kuhusu afya ya wazee vitajengwa kimsingi, idadi ya mashirika ya huduma za afya kwa wazee itaongezeka, na sifa ya huduma itaboreshwa, na mahitaji ya huduma ya afya ya wazee yataridhisha.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako