• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Wawakilishi wa China na Marekani kwenye mazungumzo ya kibiashara ya ngazi ya juu wafanya mazungumzo kwa simu

  (GMT+08:00) 2019-11-02 18:32:30

  Naibu waziri mkuu wa China Bw Liu He ambaye ni kiongozi wa ujumbe wa China kwenye mazungumzo ya kibiashara kati ya China na Marekani, jana usiku alifanya mazungumzo kwa njia ya simu na mjumbe wa mambo ya kibiashara wa Marekani Bw Robert Lighthizer, na waziri wa fedha wa Marekani Bw Steven Mnuchin.

  Kwenye mazungumzo hayo, pande mbili zilijadiliana kwa makini masuala makuu yanayofuatiliwa na nchi hizo mbili, na kufikia makubaliano ya kikanuni. Zaidi ya hayo, pande zote mbili zimejadili mpango wa mazungumzo ya awamu ijayo.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako