• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Kikosi cha madaktari cha China chamwokoa mvulana wa Sudan

  (GMT+08:00) 2019-11-04 09:16:59

  Kikosi cha 35 cha madaktari wa China nchini Sudan kimeokoa maisha ya mvulana mwenye umri wa miaka 12 aliyekuwa hatarani. Hali ya mvulana huyo ilizidi kuwa mbaya baada ya kujeruhiwa vibaya kichwani kwenye ajali ya barabarani wiki mbili zilizopita. Daktari Zheng Yunfeng alifanikiwa kumfanyia upasuaji uliodumu kwa saa mbili, na sasa mvulana huyo ameondoka hospitali.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako