• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Waziri wa mambo ya nje wa Misri aenda Marekani kwa ajili ya mazungumzo kuhusu bwawa la Mto Nile

    (GMT+08:00) 2019-11-04 10:11:48

    Waziri wa mambo ya nje wa Misri Bw. Sameh Shoukry ameenda Marekani kuhudhuria mazungumzo kuhusu boma lililojengwa na Ethiopia kwenye mto wa pamoja wa nchi hizo Nile kutokana na usuluhishi wa Marekani.

    Mazungumzo hayo yatakayofanyika Novemba 6, yatashirikisha mawaziri wa mambo ya nje wa Misiri, Ethiopia na Sudan na wadau wa Benki ya Dunia.

    Ethiopia ilianza kujenga Boma la Grand Ethiopian Renaissance (GERD) mwaka 2011, ambapo Misri ina wasiwasi kwamba mradi huo utaathiri upatikanaji wake wa maji ya mita bilioni 55.5 za ujazo kwa mwaka.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako