• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Zahera ageukia madai ya ushirikina Yanga

  (GMT+08:00) 2019-11-04 16:49:38
  Kocha Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera ameibuka na kutoa ufafanuzi kuhusiana na baadhi ya madai ya wachezaji wake kujihusisha na ushirikina. Akiongea na moja ya gazeti nchini Tanzania, Zahera ametoa ufafanuzi huo kufuatia kuwepo kwa tetesi kuwa ushirikina umekuwa ukichukua nafasi ndani ya kikosi kwa baadhi ya wachezaji. Kocha huyo alisema hayo alipoulizwa kuhusu suala la madai ya wachezaji kukimbia kucheza nafasi ya Juma Abdul kwa kuwa wanaumia wakihusisha na ushirirkina.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako