• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Manara ataja 'point' wanazotaka kwenye Ligi kuu

  (GMT+08:00) 2019-11-04 16:58:20
  Uongozi wa klabu ya Simba kupitia kwa afisa habari wake, Haji Manara, umesema kuwa malengo yao msimu huu ni kufikisha alama 100 katika msimamo wa Ligi Kuu Bara. Manara amesea hayo kufuatia ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya Mbeya City katika mchezo wa ligi kuu Tanzania bara uliochezwa jana katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam. Manara ameeleza kuwa wanatamani kufikisha alama hizo ili kuweka rekodi ya aina yake japo amekiri si rahisi sababu kila timu ina malengo ya kupata matokeo.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako