• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • NBC kuzidi kuibeba gofu Zanzibar

  (GMT+08:00) 2019-11-04 16:58:57
  Baada ya kudhamini mashindano ya gofu ya mabalozi visiwani Zanzibar kwa mafanikio makubwa, Benki ya NBC imeahidi kuendelea kuunga mkono sekta ya michezo na utalii visiwani humo kutokana na mchango wake mkubwa katika maendeleo ya taifa. Mkuu wa Kitengo cha Wateja Rejareja Maalum wa Benki hiyo Ashura Waziri amesema, licha ya kwamba michezo husaidia kuimarisha afya, lakini pia inaweza kuongeza ajira na kuinua uchumi wa wanamichezo na taifa kwa ujumla.
  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako