• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Benki ya Kitaifa ya Biashara NBC imeandikisha faidi ya kuridhisha

  (GMT+08:00) 2019-11-04 19:47:30
  Benki ya Kitaifa ya Biashara NBC imeandikisha faida ya kuridhisha katika robo ya tatu ya mwaka huu

  Kulingana na taarifa ya robo ya tatu ya fedha, imeonesha ukuaji mzuri wa benki hiyo wa asilimia 367 baada ya ushuru ikilinganishwa na mwaka jana.

  Maneja mkuu wa benki hiyo, Theobald Sabi amesema utendaji mzuri wakazi kwa benki hiyo ulichangiwa na kuboreka kwa mikopo.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako