• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Amunike atangaza rasmi kutafuta kazi baada ya kutimuliwa na Taifa Stars ya Tanzania

  (GMT+08:00) 2019-11-05 09:19:40

  Kocha wa zamani wa timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars Emmanuel Amunike baada ya kupoteza ajira yake ya kuifundisha Taifa Stars mara baada ya AFCON 2019 kumalizika amesema sasa hana timu na kuweka wazi kuwa anatafuta timu ya kuifundisha kwa sasa. Amunike alipoteza ajira yake Julai 8 2019 baada ya kushindwa kupata point hata moja katika michezo ya Makundi ya AFCON 2019. Amunike aliyepewa kazi ya kuinoa Stars April 2018, aliisaidia Tanzania kufuzu michuano ya AFCON 2019 kwa mara ya kwanza baada ya miaka 39 (1980).

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako