• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Maonesho ya chapa za China kuhimiza mawasiliano ya uchumi na biashara kati ya China na Rwanda

  (GMT+08:00) 2019-11-05 09:47:02

  Maonesho ya mwaka 2019 ya chapa za China nchini Rwanda ambayo pia ni maonesho ya bidhaa za Chongqing, China yamefunguliwa katika mji mkuu wa Rwanda, Kigali.

  Maonesho hayo ya siku tatu yaliyoandaliwa na wizara ya biashara ya China yanalenga kuweka jukwaa kwa kushirikiana na Rwanda na nchi jirani, ili kuhimiza mawasiliano ya uchumi na biashara kati ya nchi hizo.

  Ofisa mwandamizi wa idara ya uwekezaji wa kamati ya maendeleo ya Rwanda Bw. Philip Lucky amesema, maonesho hayo yatasaidia makampuni na wateja wa Rwanda kufahamu vizuri bidhaa za China, na kuhimiza uanuwai wa biashara na ushirikiano kwenye uwekezaji.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako