• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • China yasifiwa na Ethiopia kwa kuunga mkono ujenzi wa uwezo wa kujiendeleza

  (GMT+08:00) 2019-11-05 09:47:29

  Ethiopia imeishukuru China kwa kuiunga mkono kuendeleza uwezo wake, wakati zitakapoadhimisha miaka 50 tangu zianzishe uhusiano wa kibalozi mwaka kesho.

  Kwenye hafla ya uzinduzi wa mafunzo kwa wafanyakazi wa Ethiopia, mkurugenzi mkuu wa Shirika la Reli ya SGR ya Ethiopia-Djibouti EDR Bw. Tilahun Sarka amesisitiza umuhimu mkubwa wa China katika ujenzi wa uwezo wa Ethiopia. Amehimiza waethiopia wajifunze vizuri mambo ya treni kutoka kwa wataalamu wa China, ili kutimiza lengo la serikali ya Ethiopia ya kujenga uwezo wa teknolojia za reli.

  Konsela wa uchumi na biashara wa China nchini Ethiopia Bibi Liu Yu amesema Ethiopia ni mwenzi mtangulizi wa China barani Afrika katika ushirikiano wa uwezo wa uzalishaji.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako