• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Mrundi wa Simba aifurahia Kilimanjaro Queens CECAFA

  (GMT+08:00) 2019-11-05 18:31:10
  Kiungo wa kimataifa wa Simba Queens kutoka Burundi, Joelle Bukuru, amefurahia timu yake ya Taifa ya Wanawake kupangwa kundi moja na wenyeji Kilimanjaro Queens katika mashindano ya Kombe la Chalenji yanayotarajiwa kufanyika kwenye uwanja wa Azam Complex, Tanzania, kuanzia tarehe 14 hadi 23 mwezi huu, na yatashirikisha nchi nane. Kilimanjaro Queens kutoka Tanzania Baara imepangwa kundi A pamoja na Burundi, Sudan Kusini na Zanzibar Queens, huku kundi B linaundwa na timu kutoka Uganda, Ethiopia, Kenya na Eritrea.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako