• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Ikangaa, Bayo watoa kauli kujiuzulu kwa Gidabuday

  (GMT+08:00) 2019-11-05 18:31:29
  Wakati mkutano Mkuu wa Shirikisho la Riadha Tanzania ukitarajiwa kuamua hatma ya nafasi ya katibu mkuu, Filbert Bayi na Juna Ikangaa wametoa maoni tofauti kuhusu sifa za mtendaji mpya ajaye. Bayi anasema, mrithi wa katibu mkuu wa Shirikisho hilo Wilhelm Gidabuday anapaswa kuwa na sifa ya kuongoza na anayefuata katiba ya chama, awe mwadilifu, anayekubali kuulizwa, anaywasiliana, na kushirikiana na viongozi wenzake, pia awe tayari kujifunza. Ikangaa amesema katibu mkuu mpya anapaswa kuwajibika na kufuata miiko.
  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako