Taakwimu kutoka kwa serikali zinaonesha nafaka kama vile mahindi, mchele, maharage na soya za thamani ya bilioni 371 zilipitia kwenye bandari hyiyo.
Shirika la kibiashara la Kenya KenTrade limesema ongezeko hilo ni ishara ya kupungua kwa uzalishaji wa ndani.
Shirika la umoja wa mtaifa la kilimo na chakula FAO lilikuwa limeonya kuwa huenda kukatokea baa la njaa kanda ya Afrika Mashariki kutokana na kuchelewa kwa mvua.
© China Radio International.CRI. All Rights Reserved. 16A Shijingshan Road, Beijing, China. 100040 |