• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Uganda bado haijakumbatia ulipaji kwa njia ya eletroniki

  (GMT+08:00) 2019-11-05 20:27:23
  Mkurungezi wa utafiti katika benki kuu ya Uganda Adam Mugumeamesema itachukua muda kabla ya nchi hiyo kuanza kutumia mfumo wa kielektroniki kulipia huduma na bidhaa.

  Mugune alisema bado watu wengi wanapenda kutumia pesa taslim kwa sababu hawana imani na mifumo ya elektroniki.

  Alitoa wito kwa taasisi za kifedha kuvumbua mifumo ya kisasa kwa wateja wao na kuwawezesha kufanya malipo ndani ya muda mfupi ili kuwachochea kuacha kutumia pesa taslim.

  Kulingana na ripoti ya benki hiyo ya mwaka 2019 malipo kwa kutumia ppesa taslim yaliongezeka zaidi ya wasatani wa kila mwaka na kufikia shilingi bilioni 544.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako